Tenzi za Bikira Maria

Picha takatifu ya Sifa za Mama wa Mungu, ambayo mbele yake utenzi Akatistos huimbwa.

Tenzi za Bikira Maria ni kundi la tenzi zinazolenga hasa kumheshimu Bikira Maria katika Ukristo wa Mashariki na Ukristo wa Magharibi, isipokuwa Waprotestanti wengi.

Zinatumika ndani na nje ya liturujia.

Kati ya hizo zote unajitokeza wimbo wa Bikira Maria unaopatikana katika Injili ya Luka 1:46-55.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne